News

WAKATI jopo la majaji wa Mahakama ya Shirikisho New York, Marekani, likitumia saa 13 ndani ya siku tatu kujadiliana kutoa ...
BAADA ya kuipa Yanga mataji matatu aliyekuwa kocha wa Yanga, Miloud Hamdi inaelezwa kwamba yupo kwenye hatua za mwisho kumalizana na Ismaily ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja.
UONGOZI wa Manveer Birdi katika mbio za kusaka taji la taifa la ubingwa wa mbio za magari umepata tishio jipya baada ya ...
KLABU ya Mashujaa na Kagera Sugar iliyoshuka daraja rasmi zimeanza kumfuatilia mshambuliaji wa Namungo, Hassan Kabunda.
MTIBWA Sugar imerejea Ligi Kuu Bara, ikiwa na moto ikianza kupiga hesabu za maana kwa upande wa usajili ikisuka jeshi lake litakalowabakisha wasishuke.
‘TUKUTANE msimu ujao’. Ni kauli ya kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah akielezea furaha yake kuibakiza timu hiyo Ligi ...
KUANZIA mwanzoni mwa miaka ya 1930 moja ya klabu za soka duniani zilizopata umarufu na hata timu za Afrika, Asia na ...
MANCHESTER United inahusishwa na mpango wa kumsajili straika wa Aston Villa, Ollie Watkins, ikidaiwa kutaka kuendelea rekodi ...
BAYERN Munich imeingia katika harakati za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, ...
WAKATI Real Madrid ikijiandaa sasa kwa mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu, beki wa Borussia Dortmund, ambao watakuwa wapinzani wao kwenye hatua hiyo, Yan Couto amekiri kwamba ...
NDO hivyo. Arsenal imefikia patamu kwenye mazungumzo ya kumnasa straika wa mabao, Viktor Gyokeres baada ya kuamua kumchukua ...
HABARI ndo hiyo. Hatimaye, Arsenal imebeba taji la kuwa timu iliyotumia pesa nyingi zaidi kuwalipa mishahara wachezaji ...