News
LISEMWALO kwa sasa ni kwamba Arsenal ipo kwenye hatua za mwisho za kunasa dili la straika Viktor Gyokeres ili akapige mzigo ...
DIRISHA la usajili wa mastaa la majira ya kiangazi huko Ulaya lipo wazi na sasa gumzo kubwa ni kuhusu huduma za mastraika.
TABIBU wa timu ya Tanzania Prisons, Dk Damas Chinyele ametoa elimu kwa wachezaji namna wanavyotakiwa kuzingatia baadhi ya ...
STRAIKA Erling Haaland ameonekana kumshawishi kijanja kipa Yassine Bounou ajiunge Manchester City baada ya kuisaidia Al-Hilal ...
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na benchi la ufundi la klabu hiyo, wameanza kupiga hesabu la kufyeka mastaa sita wa timu hiyo, ...
HII kali. Chelsea imeilipa Brighton Pauni 257 milioni kwenye miaka ya karibuni, mkwanja ambao unatosha kujenga uwanja wake wa ...
WAKATI usaili wa wagombea 25 waliojitokeza kuwania nafasi za kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukifanyika jana ...
WAKATI jopo la majaji wa Mahakama ya Shirikisho New York, Marekani, likitumia saa 13 ndani ya siku tatu kujadiliana kutoa ...
SIMBA imemaliza msimu wa nne mfululizo bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara wala Kombe la Shirikisho (FA), jambo lililowakata stimu ...
BAYERN Munich imeingia katika harakati za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, ...
MANCHESTER United inahusishwa na mpango wa kumsajili straika wa Aston Villa, Ollie Watkins, ikidaiwa kutaka kuendelea rekodi ...
KUANZIA mwanzoni mwa miaka ya 1930 moja ya klabu za soka duniani zilizopata umarufu na hata timu za Afrika, Asia na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results