News

Simba imemaliza msimu wa nne mfululizo bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara wala Kombe la Shirikisho (FA), jambo lililowakata stimu ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge amewashukuru wafanyakazi, wachezaji, watendaji, mashabiki ...
Mpaka sasa vifo vilivyokana na ajali ya barabarani vimefikia 42 huku majeruhi wawili waliosalia katika hospitali ya Rufaa ya ...
Wakati usaili wa wagombea 25 waliojitokeza kuwania nafasi za kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukifanyika jana uchaguzi huo umepingwa ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ...
Wakati Serikali ikiendelea kuimarisha na kuongeza maeneo ya umwagiliaji, wakulima wa mpunga nchini wameiomba kuongeza ...
Kwa mujibu wa Kanuni za Tiketi Mtandao za mwaka 2024 zilizotangazwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 20 la Desemba 1, 2024, ...
Kwa mujibu wa kifungu cha sita cha sheria hiyo mpya, kifungu kidogo cha kwanza, tume inaweza kumteua mtumishi wa umma ...
Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya barabarani wilayani Same, mkoani Kilimanjaro imeongezeka na kufikia 42.
Katika kurasa za historia ya siasa za Tanzania, jina la Kassim Majaliwa limejichora kwa wino wa uadilifu, utulivu, na uongozi ...
Gurses ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ujenzi ya Adamas Conglomerates Company Limited, anadaiwa kujipatia fedha hizo kwa ...
Kila mtu akitimiza wajibu wake barabarani basi tutamaliza kama siyo kupunguza kabisa ajali hizo ambazo zinasababisha vifo, ...